Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.2026-06-222026-06-222026-06https://elibrary.lrct.go.tz/handle/123456789/133Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Bw. George Mandepo (katikati) akiwa na Prof Saudin Mwakaje (Kulia) na Dkt. Suleimani Serera (Kushoto) wakijadili jambo baada ya kumaliza mkutano wa wadau kuhusu mifumo ya sheria zinazosimamia sekta za nishati,viwanda, biashara, na uwekezaji. Mkutano huo ni hatua mojawapo katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kufuatia maelekezo ya Mhe. Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania kuitaka Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania kwa kushirikiana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kufanya mapitio na maboresho ya sheria ili kuwezesha utekelezaji kamili wa Dira 2050. Mkutano huo wa wadau ulifanyika katika ukumbi wa Hotel ya APC Bunju Mkoani Dar es salaaswKatibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Bw. George Mandepo (katikati) akiwa na Prof Saudin Mwakaje (Kulia) na Dkt. Suleimani Serera (Kushoto) wakijadili jambo.Image