LRCT eLibrary

Welcome to the LRCT eLibrary. This digital platform serves as a hub for disseminating information to the public about law reform activities.

 

LRCT Library Communities

Select a community to browse its collections.

Recent Submissions

Item
Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo akisalimiana na Naibu Waziri Katiba na Sheria
(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-11-26) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo akisalimiana na Naibu Waziri Katiba na Sheria Mhe. Zainab Athman Katimba walipotembelea Ofisi za Tume hiyo leo tarehe 26/11/2025
Item
Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Mhe. Jaji Winifrida Korosso akabidhi taarifa ya Tume.
(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-11-26) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Mhe. Jaji Winfrida Korosso akimkabidhi taarifa ya Tume hiyo Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera,alipotembelea ofisi za Tume hiyo zilizopo chuo kikuu cha Dododoma tarehe 26 Novemba 2025, Mwingine aliesimama pembeni ya Mwenyekiti ni Katibu Mtendaji wa Tume hiyo Bw. George Mandepo.
Item
Picha ya Pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Eliakim Maswi.
(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-11-19) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Eliakim Maswi, na Bw. George Mandepo, Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania alieketi kulia kwake, Bi. Jackline Nungu, Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa Tume hiyo alieketi upande wa kushoto, wengine waliosimama ni Ma - Naibu katibu, Mkurugenzi wa Huduma za Tasisi na wakuu wa Idara na Vitengo, picha iliyopigwa wakati Katibu Mkuu alipofika kufungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa ,Tume katika Ukumbi wa Hotel ya Saanan Jijin Dodoma Tarehe 19 Novemba 2025.
Item
Gazeti la Serikali la Tanzania Toleo Na.47
(Mpiga Chapa wa Serikali., 2025-11-21) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Linatolewa na Idhini ya Serikali na Kuandikishwa Posta kama Gazeti.
Item
Gazeti la Serikali la Tanzania Toleo Na.46
(Mpiga Chapa wa Serikali., 2025-11-14) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na kuandikishwa Posta kama Gazeti