Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw.George Mandepo akiwa katika picha ya pamoja.

Date

2026-04-29

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.

Abstract

Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw.George Mandepo akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Uthibiti Ubora kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Bw. Camilius Ruhinda aliyesimama kulia kwake na Bi. Mercy Kyamba Mkurugenzi Msaidizi Uthibiti ubora, kushoto kwake, wengine ni manaibu katibu na maafisa sheria kutoka Tume ya Kurekebisha Sheria mara baada ya kikao kazi cha utekelezaji wa majukumu ya taasisi hizo. Tarehe 29/4/2026

Description

Keywords

Citation

Collections