GALLERY
Permanent URI for this communityhttp://elibrary.lrct.go.tz/handle/123456789/17
Browse
Browsing GALLERY by Author "Law Reform Commission of Tanzania"
Now showing 1 - 5 of 5
- Results Per Page
- Sort Options
Item Kutembelewa na wageni kutoka Chuo Kikuu Mzumbe na Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Dodoma(Law Reform Commission Of Tanzania, 2025-07-29) Law Reform Commission of TanzaniaKatibu Mtendji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, George Mandepo na baadhi ya viongozi wa Tume hiyo wakiwa na wageni kutoka Chuo Kikuu Mzumbe na Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Dodoma walipotembelea ofisi za Tume hiyo tarehe 29 Julai 2025Item Legal Professions:The Role of LRCT in the Digital Era.(Law Reform Commission Of Tanzania, 2025-08-07) Law Reform Commission of TanzaniaJaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Tabora Mhe. Adam Mambi alipokua akiwasilisha mada ya Akili Mnemba (AI) KWA Maafisa wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania tarehe 7 Agosti 2025 ili kuwaongezea ujuzi wanapotekeleza majukumu yao.Item Maonyesho Sabasaba 2025(Law Reform Commission Of Tanzania, 2025-07-06) Law Reform Commission of TanzaniaMwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Jaji wa Mahakama ya Rufan, Mhe. Jaji Winfrida B. Korosso aliebeba pochi akiwa na afisa sheria Vicky Mbunde alipotembelea banda la Tume hiyo katika Maonesho ya 49 ya biashara kimataifa Sabasaba tarehe 6 Julai 2025.Item Shimiwi-Mwanza(Law Reform Commission Of Tanzania, 2025-09) Law Reform Commission of TanzaniaTimu ya wanamichezo wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (Tumesheria Sports Club) inayoshiriki mashindano ya SHIMIWI 2025 Jijini Mwanza.Item Wanamichezo wa timu ya Tumesheria Sports Club.(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-09-06) Law Reform Commission of TanzaniaMkurugenzi wa Huduma za Taasisi, Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. Mohamed Mavura, alieketi katikati akiwa na Wanamichezo wa timu ya Tumesheria Sports Club, wanaoshiriki Mashindano ya SHIMIWI 2025, aliwapotembelea kambini Kiloleli, Ilemela Jijini Mwanza tarehe 6/9/2025.

