Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo akiwahutubia wadau .

dc.contributor.authorTume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
dc.date.accessioned2026-06-23T08:40:28Z
dc.date.available2026-06-23T08:40:28Z
dc.date.issued2026-06
dc.description.abstractKatibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo akiwahutubia wadu wakati ukusanyaji wa maoni kuhusu mfumo wa sheria zinazosimamia masuala ya nishati,viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mkutano huo ni hatua mojawapo katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kufuatia maelekezo ya Mhe. Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania kuitaka Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania kwa kushirikiana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kufanya mapitio na maboresho ya sheria ili kuwezesha utekelezaji kamili wa Dira 2050. Mkutano huo wa wadau ulifanyika katika ukumbi wa Hotel ya APC Bunju Mkoani Dar es salaam.
dc.identifier.urihttps://elibrary.lrct.go.tz/handle/123456789/134
dc.language.isosw
dc.publisherTume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
dc.titleKatibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo akiwahutubia wadau .
dc.typeImage

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
picha no 4.jpeg
Size:
342.61 KB
Format:
Joint Photographic Experts Group/JPEG File Interchange Format (JFIF)

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed to upon submission
Description:

Collections