PHOTOS

Permanent URI for this collectionhttp://elibrary.lrct.go.tz/handle/123456789/20

Browse

Recent Submissions

Now showing 1 - 14 of 14
  • Item
    Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo akisalimiana na Naibu Waziri Katiba na Sheria
    (Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-11-26) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
    Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo akisalimiana na Naibu Waziri Katiba na Sheria Mhe. Zainab Athman Katimba walipotembelea Ofisi za Tume hiyo leo tarehe 26/11/2025
  • Item
    Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Mhe. Jaji Winifrida Korosso akabidhi taarifa ya Tume.
    (Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-11-26) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
    Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Mhe. Jaji Winfrida Korosso akimkabidhi taarifa ya Tume hiyo Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera,alipotembelea ofisi za Tume hiyo zilizopo chuo kikuu cha Dododoma tarehe 26 Novemba 2025, Mwingine aliesimama pembeni ya Mwenyekiti ni Katibu Mtendaji wa Tume hiyo Bw. George Mandepo.
  • Item
    Picha ya Pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Eliakim Maswi.
    (Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-11-19) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
    Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Eliakim Maswi, na Bw. George Mandepo, Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania alieketi kulia kwake, Bi. Jackline Nungu, Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa Tume hiyo alieketi upande wa kushoto, wengine waliosimama ni Ma - Naibu katibu, Mkurugenzi wa Huduma za Tasisi na wakuu wa Idara na Vitengo, picha iliyopigwa wakati Katibu Mkuu alipofika kufungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa ,Tume katika Ukumbi wa Hotel ya Saanan Jijin Dodoma Tarehe 19 Novemba 2025.
  • Item
    Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania .
    (Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-09-25) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
    Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo (Kushoto) akimkabidhi Jarida la The law Reformer Journal Bw. Shaaban Abdalla baada ya kumaliza kikao cha mapitio ya Mkataba wa Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) baina yao kilichofanyika tarehe 25/09/2025 katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar.
  • Item
    Mkataba wa makubaliano ya ushirikiano.
    (Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-09) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
    Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Zanzibar wakiwa katika kikao kazi cha kuimarisha utekelezaji wa mkataba wa makubaliano ya ushirikiano (MoU) kati ya pande hizo mbili, kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa ofisi hiyo mjini Zanzibar.
  • Item
    Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
    (Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-09-17) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
    Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe.Winifrida Korosso (wa nne kutoka kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Tume hiyo baada ya kikao kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Tume zilizopo katika majengo ya chuo Kikuu cha Dodoma (Udom).
  • Item
    Wanamichezo wa timu ya Tumesheria Sports Club.
    (Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-09-06) Law Reform Commission of Tanzania
    Mkurugenzi wa Huduma za Taasisi, Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. Mohamed Mavura, alieketi katikati akiwa na Wanamichezo wa timu ya Tumesheria Sports Club, wanaoshiriki Mashindano ya SHIMIWI 2025, aliwapotembelea kambini Kiloleli, Ilemela Jijini Mwanza tarehe 6/9/2025.
  • Item
    Shimiwi-Mwanza
    (Law Reform Commission Of Tanzania, 2025-09) Law Reform Commission of Tanzania
    Timu ya wanamichezo wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (Tumesheria Sports Club) inayoshiriki mashindano ya SHIMIWI 2025 Jijini Mwanza.
  • Item
    Legal Professions:The Role of LRCT in the Digital Era.
    (Law Reform Commission Of Tanzania, 2025-08-07) Law Reform Commission of Tanzania
    Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Tabora Mhe. Adam Mambi alipokua akiwasilisha mada ya Akili Mnemba (AI) KWA Maafisa wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania tarehe 7 Agosti 2025 ili kuwaongezea ujuzi wanapotekeleza majukumu yao.
  • Item
    Kutembelewa na wageni kutoka Chuo Kikuu Mzumbe na Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Dodoma
    (Law Reform Commission Of Tanzania, 2025-07-29) Law Reform Commission of Tanzania
    Katibu Mtendji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, George Mandepo na baadhi ya viongozi wa Tume hiyo wakiwa na wageni kutoka Chuo Kikuu Mzumbe na Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Dodoma walipotembelea ofisi za Tume hiyo tarehe 29 Julai 2025
  • Item
    Maonyesho Sabasaba 2025
    (Law Reform Commission Of Tanzania, 2025-07-06) Law Reform Commission of Tanzania
    Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Jaji wa Mahakama ya Rufan, Mhe. Jaji Winfrida B. Korosso aliebeba pochi akiwa na afisa sheria Vicky Mbunde alipotembelea banda la Tume hiyo katika Maonesho ya 49 ya biashara kimataifa Sabasaba tarehe 6 Julai 2025.
  • Item
    Elimu kwa Umma
    (2025-04-28) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania
    Wanafunzi na baadhi ya Walimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Lindi ( Lindi High School) wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa kutoka Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania mara baada ya kuwapatia elimu ya sheria kuhusu Makosa ya Kimaadili na Makosa ya Kimtandao. Tarehe 28/4/2025
  • Item
    Baraza la wafanyakazi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania
    (Law Reform Commision of Tanzania, 2025) LRCT
    Picha ya pamoja ya baraza la wafanyakazi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania na waziri
  • Item
    Legal Education Awareness
    (LRCT, 2025-04-24) LRCT
    Wanafunzi na baadhi ya Walimu wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Lindi wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa kutoka Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania mara baada ya kuwapa elimu ya sheria kuhusu makosa ya kimaadili na kimtandao.