PHOTOS
Permanent URI for this collectionhttp://elibrary.lrct.go.tz/handle/123456789/20
Browse
Browsing PHOTOS by Title
Now showing 1 - 20 of 28
- Results Per Page
- Sort Options
Item Baraza la wafanyakazi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania(Law Reform Commision of Tanzania, 2025) LRCTPicha ya pamoja ya baraza la wafanyakazi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania na waziriItem Elimu kwa Umma(2025-04-28) Tume ya Kurekebisha Sheria TanzaniaWanafunzi na baadhi ya Walimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Lindi ( Lindi High School) wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa kutoka Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania mara baada ya kuwapatia elimu ya sheria kuhusu Makosa ya Kimaadili na Makosa ya Kimtandao. Tarehe 28/4/2025Item Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Bw. George Mandepo (katikati) akiwa na Prof Saudin Mwakaje (Kulia) na Dkt. Suleimani Serera (Kushoto) wakijadili jambo.(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2026-06) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Bw. George Mandepo (katikati) akiwa na Prof Saudin Mwakaje (Kulia) na Dkt. Suleimani Serera (Kushoto) wakijadili jambo baada ya kumaliza mkutano wa wadau kuhusu mifumo ya sheria zinazosimamia sekta za nishati,viwanda, biashara, na uwekezaji. Mkutano huo ni hatua mojawapo katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kufuatia maelekezo ya Mhe. Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania kuitaka Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania kwa kushirikiana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kufanya mapitio na maboresho ya sheria ili kuwezesha utekelezaji kamili wa Dira 2050. Mkutano huo wa wadau ulifanyika katika ukumbi wa Hotel ya APC Bunju Mkoani Dar es salaaItem Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRTC), Bw. George Mandepo.(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2026-06-18) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRTC), Bw. George Mandepo akisistiza jambo wakati wa mafunzo kuhusu mfumo wa sheria inayosimamia sheria za viwanda, biashara na uwekezaji katika ukumbi wa Hoteli ya APC Bunju mkoani Dar es Salaam.Item Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania .(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-09-25) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo (Kushoto) akimkabidhi Jarida la The law Reformer Journal Bw. Shaaban Abdalla baada ya kumaliza kikao cha mapitio ya Mkataba wa Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) baina yao kilichofanyika tarehe 25/09/2025 katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar.Item Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo akifafanua jambo wakati wa kikao kazi na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango (NPC), Dkt. Fred Msemwa ( aliye keti), kilichofanyika leo tarehe 22/01/2026 katika ukumbi wa mikutano wa Tume ya kurekebisha sheria uliyopo Chuo Kikuu cha Dodoma ( UDOM).(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2026-01-22) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo akifafanua jambo wakati wa kikao kazi na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango (NPC), Dkt. Fred Msemwa ( aliye keti), kilichofanyika leo tarehe 22/01/2026 katika ukumbi wa mikutano wa Tume ya kurekebisha sheria uliyopo Chuo Kikuu cha Dodoma ( UDOM).Item Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo akisalimiana na Naibu Waziri Katiba na Sheria(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-11-26) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo akisalimiana na Naibu Waziri Katiba na Sheria Mhe. Zainab Athman Katimba walipotembelea Ofisi za Tume hiyo leo tarehe 26/11/2025Item Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo akiwahutubia wadau .(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2026-06) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo akiwahutubia wadu wakati ukusanyaji wa maoni kuhusu mfumo wa sheria zinazosimamia masuala ya nishati,viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mkutano huo ni hatua mojawapo katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kufuatia maelekezo ya Mhe. Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania kuitaka Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania kwa kushirikiana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kufanya mapitio na maboresho ya sheria ili kuwezesha utekelezaji kamili wa Dira 2050. Mkutano huo wa wadau ulifanyika katika ukumbi wa Hotel ya APC Bunju Mkoani Dar es salaam.Item Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo akipokea Tuzo aliyokabidhiwa na Bi. Jackline Nungu.(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2026-05-14) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo akipokea Tuzo aliyokabidhiwa na Bi. Jackline Nungu kwa niaba ya Watumishi wa Tume hiyo ikiwa ni kutambua mchango wake mkubwa katika kuimarisha utendaji kazi, ushirikiano na maendeleo ya watumishi ndani ya Tume hiyo. Tuzo hiyo ilitolewa Mei 14,2026 na watumishi wakati wa Kikao cha Baraza la 24 la Wafanyakazi lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Tume ya Utumishi wa Mahakama uliopo mjini Dodoma .Item Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw.George Mandepo akiwa katika picha ya pamoja.(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2026-04-29) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw.George Mandepo akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Uthibiti Ubora kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Bw. Camilius Ruhinda aliyesimama kulia kwake na Bi. Mercy Kyamba Mkurugenzi Msaidizi Uthibiti ubora, kushoto kwake, wengine ni manaibu katibu na maafisa sheria kutoka Tume ya Kurekebisha Sheria mara baada ya kikao kazi cha utekelezaji wa majukumu ya taasisi hizo. Tarehe 29/4/2026Item Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw.George Mandepo.(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2026-04-29) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw.George Mandepo akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Uthibiti Ubora kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Bw. Camilius Ruhinda aliyesimama kulia kwake na Bi. Mercy Kyamba Mkurugenzi Msaidizi Uthibiti ubora, kushoto kwake, wengine ni manaibu katibu na maafisa sheria kutoka Tume ya Kurekebisha Sheria mara baada ya kikao kazi cha utekelezaji wa majukumu ya taasisi hizo. Tarehe 29/4/2026.Item Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Bw. George Mandepo .(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2026-06-18) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Bw. George Mandepo akiwa na wajumbe wa kikao kazi waliohudhuria kikao hicho kujadili kuhusu mfumo wa sheria zinazosimamia masuala ya Nishati pamoja na mfumo wa Sheria za Viwanda, Biashara na Uwekezaji , kilichofanyika tarehe 18/6/2026 katika Hotel ya Apc Bunju Jijini Dar es salaam.Item Kutembelewa na wageni kutoka Chuo Kikuu Mzumbe na Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Dodoma(Law Reform Commission Of Tanzania, 2025-07-29) Law Reform Commission of TanzaniaKatibu Mtendji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, George Mandepo na baadhi ya viongozi wa Tume hiyo wakiwa na wageni kutoka Chuo Kikuu Mzumbe na Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Dodoma walipotembelea ofisi za Tume hiyo tarehe 29 Julai 2025Item Legal Education Awareness(LRCT, 2025-04-24) LRCTWanafunzi na baadhi ya Walimu wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Lindi wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa kutoka Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania mara baada ya kuwapa elimu ya sheria kuhusu makosa ya kimaadili na kimtandao.Item Legal Professions:The Role of LRCT in the Digital Era.(Law Reform Commission Of Tanzania, 2025-08-07) Law Reform Commission of TanzaniaJaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Tabora Mhe. Adam Mambi alipokua akiwasilisha mada ya Akili Mnemba (AI) KWA Maafisa wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania tarehe 7 Agosti 2025 ili kuwaongezea ujuzi wanapotekeleza majukumu yao.Item Maonyesho Sabasaba 2025(Law Reform Commission Of Tanzania, 2025-07-06) Law Reform Commission of TanzaniaMwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Jaji wa Mahakama ya Rufan, Mhe. Jaji Winfrida B. Korosso aliebeba pochi akiwa na afisa sheria Vicky Mbunde alipotembelea banda la Tume hiyo katika Maonesho ya 49 ya biashara kimataifa Sabasaba tarehe 6 Julai 2025.Item Mei mosi.(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2026-05-01) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.Watumishi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) tarehe 1 Mei 2026 ambapo katika mkoa wa Dodoma maadhimisho hayo yamefanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.Item Mkataba wa makubaliano ya ushirikiano.(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-09) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Zanzibar wakiwa katika kikao kazi cha kuimarisha utekelezaji wa mkataba wa makubaliano ya ushirikiano (MoU) kati ya pande hizo mbili, kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa ofisi hiyo mjini Zanzibar.Item Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Mhe. Jaji Winifrida Korosso akabidhi taarifa ya Tume.(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-11-26) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Mhe. Jaji Winfrida Korosso akimkabidhi taarifa ya Tume hiyo Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera,alipotembelea ofisi za Tume hiyo zilizopo chuo kikuu cha Dododoma tarehe 26 Novemba 2025, Mwingine aliesimama pembeni ya Mwenyekiti ni Katibu Mtendaji wa Tume hiyo Bw. George Mandepo.Item Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Mhe. Jaji Winifrida Korosso.(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2026) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania Winifrida B. Korosso akisisitiza jambo wakati wa vikao vya Tume vinavyofanyika mara kwa mara katika ukumbi wa Tume hiyo mjini Dodoma.

