GALLERY
Permanent URI for this communityhttp://elibrary.lrct.go.tz/handle/123456789/17
Browse
Browsing GALLERY by Author "Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania."
Now showing 1 - 6 of 6
- Results Per Page
- Sort Options
Item Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania .(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-09-25) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo (Kushoto) akimkabidhi Jarida la The law Reformer Journal Bw. Shaaban Abdalla baada ya kumaliza kikao cha mapitio ya Mkataba wa Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) baina yao kilichofanyika tarehe 25/09/2025 katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar.Item Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo akisalimiana na Naibu Waziri Katiba na Sheria(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-11-26) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.Katibu Mtendaji Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo akisalimiana na Naibu Waziri Katiba na Sheria Mhe. Zainab Athman Katimba walipotembelea Ofisi za Tume hiyo leo tarehe 26/11/2025Item Mkataba wa makubaliano ya ushirikiano.(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-09) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Zanzibar wakiwa katika kikao kazi cha kuimarisha utekelezaji wa mkataba wa makubaliano ya ushirikiano (MoU) kati ya pande hizo mbili, kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa ofisi hiyo mjini Zanzibar.Item Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Mhe. Jaji Winifrida Korosso akabidhi taarifa ya Tume.(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-11-26) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Mhe. Jaji Winfrida Korosso akimkabidhi taarifa ya Tume hiyo Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera,alipotembelea ofisi za Tume hiyo zilizopo chuo kikuu cha Dododoma tarehe 26 Novemba 2025, Mwingine aliesimama pembeni ya Mwenyekiti ni Katibu Mtendaji wa Tume hiyo Bw. George Mandepo.Item Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-09-17) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe.Winifrida Korosso (wa nne kutoka kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Tume hiyo baada ya kikao kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Tume zilizopo katika majengo ya chuo Kikuu cha Dodoma (Udom).Item Picha ya Pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Eliakim Maswi.(Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania., 2025-11-19) Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Eliakim Maswi, na Bw. George Mandepo, Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania alieketi kulia kwake, Bi. Jackline Nungu, Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa Tume hiyo alieketi upande wa kushoto, wengine waliosimama ni Ma - Naibu katibu, Mkurugenzi wa Huduma za Tasisi na wakuu wa Idara na Vitengo, picha iliyopigwa wakati Katibu Mkuu alipofika kufungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa ,Tume katika Ukumbi wa Hotel ya Saanan Jijin Dodoma Tarehe 19 Novemba 2025.

