Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera (Mb) (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali kutoka Tume ya Kurekebisha Sheria.

Date

2026

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.

Abstract

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera (Mb) (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali kutoka Tume ya Kurekebisha Sheria wakiongozwa na Mtendaji Mkuu Bw. George Mandepo wakati wa kikao cha kujadili uimarishaji wa mwelekeo wa marekebisho ya sheria nchini ili yaendane na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kilichofanyika tarehe 4/02/2026 katika ukumbi wa Mikutano uliopo katika Tume ya Utumishi wa Mahakama jijini Dodoma.

Description

Keywords

Citation

Collections