Waziri wa Katiba na Sheria Dr. Juma Homera (katikati walioketi) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa kikao cha mafunzo elekezi kwa Makamishna wapya wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (waliosimama)
Date
2026-09-01
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
Abstract
Waziri wa Katiba na Sheria Dr. Juma Homera (katikati walioketi) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa kikao cha mafunzo elekezi kwa Makamishna wapya wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (waliosimama). Wengine walioketi Wa kwanza kulia ni Prof. Ibrahimu Juma akifuatiwa na Naibu Katibu Bi Zainab Chanzi na kushoto ni Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Winifrida Korosso akifuatiwa na Katibu Mtendaji Bw. George Mandepo wakiwa katika ukumbi wa Mikutano wa Hotel ya Gerwill jiji Dodoma.

